Matendo Ya Mitume 27:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo akawaambia wale maaskari na maofisa wao, “Hawa watu wasipobaki katika meli, hamtaweza kuokolewa.”