Matendo Ya Mitume 27:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini sasa nawaomba mjipe moyo. Hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake ila meli hii itaangamia.