Matendo Ya Mitume 27:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
‘ ‘Mabwana, naona tukiendelea na safari hii patatokea maafa na hasara kubwa kwa meli na shehena na hata maisha yetu yatakuwa hatarini.”