Matendo Ya Mitume 26:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na walipokuwa faraghani pamoja wakasema, “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kifo au kifungo.”