Matendo Ya Mitume 26:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa sababu nafahamu ya kuwa wewe unajua kwa undani mila na maswala yote ya mabishano kati ya Wayahudi. Kwa hiyo nakusihi unisikilize kwa uvumilivu.