Matendo Ya Mitume 26:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Nilikuwa katika mojawapo ya safari hizi nikielekea Dameski, nikiwa na kibali na amri kutoka kwa makuhani wakuu.