Matendo Ya Mitume 25:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Paulo alijitetea, akasema, “Sikufanya jambo lo lote kinyume cha sheria za Wayahudi au Hekalu au kinyume cha Kaisari. ”