Matendo Ya Mitume 25:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Festo alikaa nao kwa muda wa siku nane au kumi kisha akaondoka kwenda Kaisaria. Kesho yake akakaa katika baraza la mahakama, akaamuru Paulo aletwe.