Matendo Ya Mitume 25:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Paulo alipokata rufaa, akaomba akae kizuizini mpaka Kaisari atakapotoa uamuzi wake, niliamuru awekwe rumande mpaka nitakapompeleka kwa Kaisari.”