Matendo Ya Mitume 24:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
akaamuru wanaomshtaki walete mashtaka yao mbele yako]. Wewe mwenyewe ukimwuliza maswali utathibitisha ukweli wa mashtaka yote tunayoleta mbele yako kumhusu yeye.”