Matendo Ya Mitume 24:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tumemwona mtu huyu kuwa ni mfanya fujo ambaye ana chochea maasi kati ya Wayahudi dunia nzima. Yeye ni kiongozi wa dhehebu la Wanazareti.