Matendo Ya Mitume 23:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kwamba yeye ni kuhani mkuu. Kwa maana Maandiko yanasema, ‘Usimseme vibaya kiongozi wa watu wako.’ ”