Matendo Ya Mitume 23:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Naye akasema, “Wayahudi wameku baliana wakuombe kesho umpeleke Paulo kwenye Baraza lao kwa kisingizio kwamba wanataka kuchunguza kesi yake kwa uangalifu zaidi.