Matendo Ya Mitume 23:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo akawakazia macho wajumbe wa baraza, akasema, “Ndugu zangu, mimi nimeishi nikiwa na dhamiri safi kabisa siku zote mbele za Mungu, mpaka leo.”