Matendo Ya Mitume 22:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nilipokuwa nimekaribia kufika Dameski, mnamo muda wa kama saa sita mchana, kulitokea mwanga mkali kutoka mbinguni ukaangaza pande zote kuni zunguka.