Matendo Ya Mitume 22:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule jemadari akasema, “Mimi nilinunua uraia wangu kwa fedha nyingi.” Paulo akamjibu, ‘ ‘Lakini mimi ni Mrumi wa kuzaliwa.”