Matendo Ya Mitume 22:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule askari aliposikia maneno haya, alimwendea yule jemadari akamwuliza, “Unajua unalolifanya? Huyu mtu ni raia wa Kirumi.”