Matendo Ya Mitume 22:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
yule jemadari akaamuru wale askari wake wamwingize Paulo katika ngome na wamhoji na kum chapa viboko ili aeleze vizuri kwa nini wale Wayahudi walikuwa wanampigia makelele.