Matendo Ya Mitume 22:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na hata shahidi wako Stefano alipokuwa anauawa mimi nilikuwa nimesimama kando nikikubaliana na kitendo hicho na nikashika mavazi ya wale waliomwua.