Matendo Ya Mitume 2:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Waliposikia kelele hizi, walikusany ika kwa wingi. Wote walishangaa kwa sababu waliwasikia waamini wakiongea lugha ya kila mmoja wao.