Matendo Ya Mitume 2:45

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Waliuza mali zao na vitu waliv yokuwa navyo wakagawiana fedha walizopata, kila mtu akapata kadiri ya mahitaji yake.