Matendo Ya Mitume 2:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Ndugu zangu, nataka niwaambie wazi kwamba mfalme Daudi alikufa na kuzikwa, na kaburi lake lipo hata leo.