Matendo Ya Mitume 2:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu akamwondolea uchungu wa mauti, kwa sababu hata kifo kisingaliweza kumzuia.