Matendo Ya Mitume 2:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
‘Mungu alisema, siku za mwisho nitawamiminia binadamu wote Roho yangu: wavulana wenu na binti zenu watatabiri, vijana wenu wataona maono na wazee wataota ndoto.