Matendo Ya Mitume 17:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini baadhi ya watu walimfuata Paulo wakaamini. Kati yao alikuwepo Dionisio, Mwareopago, na mwanamke mmoja aliyeitwa Damari na wengine.