Matendo Ya Mitume 17:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mungu aliyeumba dunia na vitu vyote vilivyomo, ambaye pia ni Bwana wa mbingu na nchi, haishi katika mahekalu yaliyojengwa na wanadamu.