Matendo Ya Mitume 17:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamkamata wakampeleka kwenye baraza la Areopago wakamwambia, “Tungependa kufahamu haya mafundisho mapya unayotangaza.