Matendo Ya Mitume 17:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Giza lilipoingia, wale ndugu waamini waliwatoa Paulo na Sila wakaondoka kwenda Beroya, na walipowasili wakaingia katika Sinagogi la Wayahudi.