Matendo Ya Mitume 16:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walisafiri kupitia wilaya ya Firigia na Galatia, kwa sababu Roho Mtakatifu aliwazuia wasihubiri neno sehemu za Asia.