Matendo Ya Mitume 16:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo na Sila walipotoka gerezani walimtembelea Lidia, wakakutana na ndugu waamini wakawatia moyo; ndipo wakaondoka.