Matendo Ya Mitume 16:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Askari akaitisha taa iletwe, akaingia ndani ya chumba cha gereza, akapiga magoti akitetemeka miguuni mwa Paulo na Sila.