Matendo Ya Mitume 16:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Gha fla pakatokea tetemeko kubwa la nchi, hata msingi wa jengo la gereza ukatikisika. Mara milango ya gereza ikawa wazi na mikatale yao ikafunguka.