Matendo Ya Mitume 16:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Umati wa watu waliokuwepo wakaunga mkono mashtaka haya, na wale maha kimu wakatoa amri Paulo na Sila wavuliwe nguo wachapwe viboko.