Matendo Ya Mitume 16:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi alimfuata Paulo na sisi akipiga kelele, “Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye Juu kuliko wote. Wao wanatangaza kwenu njia ya wokovu.”