Matendo Ya Mitume 15:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa sababu waliamini.