Matendo Ya Mitume 15:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Paulo aliona si vizuri kumchukua kwa sababu aliwahi kuwakimbia walipokuwa huko Pamfilia, akakataa kuendelea kufanya kazi nao.