Matendo Ya Mitume 15:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale wajumbe walipokwisha kuagwa, wakaondoka wakaenda Antiokia, wakakusanya ushirika wote wa waamini, wakawapa ile barua.