Matendo Ya Mitume 15:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
‘ Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi ambayo imeanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha,