Matendo Ya Mitume 14:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Katika mji wa Listra, alikuwepo kiwete amekaa, ambaye ali kuwa amelemaa miguu yote miwili tangu alipozaliwa, na hakuwahi kutembea kamwe.