Matendo Ya Mitume 14:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini wao walipopata habari hizi walitoroka wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya wilaya ya Likaonia, na sehemu zilizopakana nayo.