Matendo Ya Mitume 14:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakaja watu kutoka Antiokia na Ikonio wakawashawishi wale watu, wakampiga Paulo kwa mawe, wakamkokota hadi nje ya mji, wakidhani amekufa.