Matendo Ya Mitume 14:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hata hivyo hakuacha kuwaonyesha watu uwepo wake. Kwa maana aliwatendea mema akawaletea mvua kutoka mbinguni na mazao kwa majira yake, akawatosheleza kwa vyakula na raha.”