Matendo Ya Mitume 14:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
‘ ‘Kwa nini mnafanya mambo haya? Sisi ni binadamu tu, kama ninyi! Tumekuja kuwatangazia Habari Njema; mziache hizi ibada zisizo na maana na mumgeukie Mungu aliye hai ambaye aliumba mbingu na nchi na bahari, na vyote vilivyoko.