Matendo Ya Mitume 14:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo Paulo akasema kwa sauti, “Simama kwa miguu yako!” Mara yule mtu akaruka juu akaanza kutembea!