Matendo Ya Mitume 13:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini yule mchawi ambaye jina lake kwa Kigiriki ni Elima, alijaribu kuwapinga Barnaba na Sauli na kumshawishi yule liwali asiwasikilize.