Matendo Ya Mitume 13:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya kuhubiri sehemu zote za kisiwa cha Kipro walifika Pafo, ambapo walikutana na Myahudi mchawi aliyekuwa nabii wa uongo, aitwaye Bar-Yesu.