Matendo Ya Mitume 13:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Barnaba na Sauli wakaongozwa na Roho Mtakatifu wakaenda mpaka Seleukia, na kutoka huko wakasafiri baharini mpaka kisiwa cha Kipro .