Matendo Ya Mitume 13:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na baada ya kufanya kila kitu kilichotabiriwa katika Maandiko kumhusu, wakamshusha kutoka msalabani wakamweka kaburini.