Matendo Ya Mitume 13:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na baada ya kuwaangamiza mataifa saba waliokuwa wakiishi katika nchi ya Kanaani, akawapa Waisraeli nchi yao iwe urithi wao kwa muda wa miaka mia nne na hamsini.