Matendo Ya Mitume 13:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Barnaba na Paulo wakaendelea hadi Antiokia, mji ulioko katika jimbo la Pisidia. Na siku ya sabato waliingia ndani ya sinagogi wakaketi .